Luka 8:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192149 Alipokuwa akinena haya, mtu akaja, ametoka kwa yule mkuu wa sunagogi, akamwambia, Binti yako amekwisha kufa, usimsumbue mwalimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Alipokuwa bado akiongea, Yairo akaletewa habari kutoka nyumbani: “Binti yako amekwisha kufa, ya nini kumsumbua Mwalimu zaidi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Alipokuwa bado akiongea, Yairo akaletewa habari kutoka nyumbani: “Binti yako amekwisha kufa, ya nini kumsumbua Mwalimu zaidi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Alipokuwa bado akiongea, Yairo akaletewa habari kutoka nyumbani: “Binti yako amekwisha kufa, ya nini kumsumbua Mwalimu zaidi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Isa alipokuwa bado anasema, akaja mtumishi kutoka nyumbani mwa Yairo, yule kiongozi wa sinagogi, kumwambia, “Binti yako amekwisha kufa. Usiendelee kumsumbua Mwalimu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Isa alipokuwa bado anasema, akaja mtumishi kutoka nyumbani kwa Yairo, yule kiongozi wa sinagogi, kumwambia, “Binti yako amekwisha kufa. Usiendelee kumsumbua Mwalimu.” Tazama sura |