Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 8:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Yesu akasema, Ni nani aliyenigusa? Bassi watu wote walipokana, Petro nao walio pamoja nae wakamwambia, Bwana, Makutano wanakuzunguka na kukusonga, nawe unasema, Ni nani aliyenigusa?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Yesu akasema, “Ni nani aliyenigusa?” Wote wakasema kwamba hapakuwa na mtu aliyemgusa. Naye Petro akasema, “Bwana, umati wa watu umekuzunguka na kukusonga!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Yesu akasema, “Ni nani aliyenigusa?” Wote wakasema kwamba hapakuwa na mtu aliyemgusa. Naye Petro akasema, “Bwana, umati wa watu umekuzunguka na kukusonga!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Yesu akasema, “Ni nani aliyenigusa?” Wote wakasema kwamba hapakuwa na mtu aliyemgusa. Naye Petro akasema, “Bwana, umati wa watu umekuzunguka na kukusonga!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Isa akauliza, “Ni nani aliyenigusa?” Watu wote walipokana, Petro akasema, “Bwana, umati huu wa watu wanakusonga na kukusukuma kila upande.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Isa akauliza, “Ni nani aliyenigusa?” Watu wote walipokana, Petro akasema, “Bwana Isa, huu umati wa watu unakusonga na kukusukuma kila upande.”

Tazama sura Nakili

Luka 8:45
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana siku zitakujilia, adui zako watakapokujengea boma; watakuzunguka, watakudhiikisha pande zote;

Simon akajibu, akasema, Bwana, tulisumbuka usiku kucha, tusipate kitu: illakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.

akamwendea kwa nyuma, akamgusa upindo wa nguo yake, marra kukakoma kule kutoka damu kwake.

Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki mbili, tusipokwenda sisi wenyewe tukawannnulie vyakula watu hawa wote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo