Luka 8:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Makutano mengi yalipokutanika, na watu wa killa mji wakimjia, akasema kwa mfano: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Umati mkubwa wa watu walipokuwa wakikusanyika, nao watu walikuwa wakimjia Isa kutoka kila mji, akawaambia mfano huu: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukija kwa Isa kutoka kila mji, akawaambia mfano huu: Tazama sura |