Luka 8:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Hakuna mtu awashae taa na kuifunika kwa chombo au kuiweka mvunguni, bali huiweka juu ya kibao cha kuwekea faa, illi waingiao wauone mwanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe au kuiweka mvunguni. Lakini huiweka juu ya kinara ili watu wanapoingia ndani wapate kuona mwanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe au kuiweka mvunguni. Lakini huiweka juu ya kinara ili watu wanapoingia ndani wapate kuona mwanga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe au kuiweka mvunguni. Lakini huiweka juu ya kinara ili watu wanapoingia ndani wapate kuona mwanga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Hakuna mtu awashaye taa na kuificha ndani ya gudulia au kuiweka mvunguni mwa kitanda. Badala yake, huiweka juu ya kinara, ili wale wanaoingia ndani waone mwanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “Hakuna mtu awashaye taa na kuificha ndani ya gudulia au kuiweka mvunguni mwa kitanda. Badala yake, huiweka juu ya kinara, ili wale waingiao ndani waone mwanga. Tazama sura |