Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Yesu aliposikia haya akamstaajabia akawageukia makutano waliokuwa wakimfuata, akisema, Nawaambieni, Hatta katika Israeli sikuona imani nyingi namna hii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Yesu aliposikia hayo, alishangaa, halafu akauelekea ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akasema, “Sijaona mwenye imani kama hii hata katika Israeli!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Yesu aliposikia hayo, alishangaa, halafu akauelekea ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akasema, “Sijaona mwenye imani kama hii hata katika Israeli!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Yesu aliposikia hayo, alishangaa, halafu akauelekea ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akasema, “Sijaona mwenye imani kama hii hata katika Israeli!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Isa aliposikia maneno haya, alishangazwa naye sana. Akageukia umati ule wa watu waliokuwa wanamfuata, akawaambia, “Sijaona imani kubwa namna hii hata katika Israeli.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Isa aliposikia maneno haya, alishangazwa naye sana. Akaugeukia ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akawaambia, “Sijaona imani kubwa namna hii hata katika Israeli.”

Tazama sura Nakili




Luka 7:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Ee mwanamke, imani yako kubwa; pata utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.


Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.


Na pepo alipofukuzwa, yule bubu akasema, makutano wakastaajabu, wakanena, Haijaonekana hivi katika Israeli wakati wo wote.


Bassi wale waliotumwa waliporudi nyumbani kwake, wakamkuta yule mtumishi, aliyekuwa hawezi, yu mzima.


Akamwambia yule mwanamke, Imani yako imekuokoa; enenda zako kwa amani.


Sababu mimi nami ni mtu aliyewekwa chini ya mamlaka, nina askari chini yangu: nikimwambia huyu, Nenda, huenda: na huyu, Njoo, huja; na mtumishi wangu, Fanya hivi, hufanya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo