Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 maana si stahili yangu wewe uingie chini ya dari yangu: kwa biyo nalijiona sistahili kuja kwako: lakini sema neno tu, na mtumishi wangu atapona.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Ndio maana sikujiona nastahili hata kuja kwako. Lakini sema tu neno, na mtumishi wangu atapona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Ndio maana sikujiona nastahili hata kuja kwako. Lakini sema tu neno, na mtumishi wangu atapona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Ndio maana sikujiona nastahili hata kuja kwako. Lakini sema tu neno, na mtumishi wangu atapona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ndiyo maana sikujiona hata ninastahili kuja kwako wewe. Lakini sema neno tu, naye mtumishi wangu atapona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ndiyo maana sikujiona hata ninastahili kuja kwako wewe. Lakini sema neno tu, naye mtumishi wangu atapona.

Tazama sura Nakili

Luka 7:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakashangaa wote hatta wakaulizana, wakinena, Nini hii? Elimu hii mpya ni elimn gani? Maana kwa mamlaka awaamuru pepo wachafu nao wakamtii!

Ushangao ukawashika wote, wakaambiana wao kwa wao, wakinena, Neno gani hili, maana kwa mamlaka na uweza awaamuru pepo wachafu, nao watoka?

Nae akauyosha mkono wake, akamgusa, akinena, Nataka; takasika. Marra ukoma wake ukamwounoka.

Bassi Yesu akaenda pamoja nao. Hatta alipokuwa si mbali ya nyumba yake, yule akida akatuma rafiki kwake akimwambia, Bwana, usijisumbue,

Sababu mimi nami ni mtu aliyewekwa chini ya mamlaka, nina askari chini yangu: nikimwambia huyu, Nenda, huenda: na huyu, Njoo, huja; na mtumishi wangu, Fanya hivi, hufanya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo