Luka 7:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192149 Na wale walioketi pamoja nae wakaanza kusema ndani ya mioyo yao, Nani huyu hatta akasamehe dhambi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Ndipo wale waliokuwa pamoja naye mezani wakaulizana, “Ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Ndipo wale waliokuwa pamoja naye mezani wakaulizana, “Ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Ndipo wale waliokuwa pamoja naye mezani wakaulizana, “Ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Lakini wale waliokuwa wameketi pamoja naye chakulani wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani ambaye hata anasamehe dhambi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Lakini wale waliokuwa wameketi pamoja naye chakulani wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani ambaye hata anasamehe dhambi?” Tazama sura |