Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

47 Kwa ajili hiyo, nakuambia, Amesamehewa dhambi zake zilizo nyingi kwa kuwa amependa sana. Nae asamehewae kidogo hupenda kidogo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Kwa hiyo nakuambia amesamehewa dhambi zake nyingi kwa kuwa ameonesha upendo mkubwa. Mwenye kusamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Kwa hiyo nakuambia amesamehewa dhambi zake nyingi kwa kuwa ameonesha upendo mkubwa. Mwenye kusamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Kwa hiyo nakuambia amesamehewa dhambi zake nyingi kwa kuwa ameonesha upendo mkubwa. Mwenye kusamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonyesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

Tazama sura Nakili




Luka 7:47
25 Marejeleo ya Msalaba  

Apendae baba au mama kuliko mimi, hanifai; na apendae mwana au binti kuliko mimi hanifai.


Yule Farisayo aliyemwalika, alipoona haya akasema kimoyomoyo, akinena, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angalimjua huyu ni nani! na ni mwanamke gani anaemgusa, ya kuwa ni mwenye dhambi.


Hukunipaka kichwa changu mafuta: bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu.


Akamwambia, Umesamehewa dhambi zako.


Mtu kuyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toha na masamaha ya dhambi.


Sharia iliingia illi anguko lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi;


Maana upendo wa Kristo watulazimisha; maana tumehukumu hivi, ya kwamba ikiwa mmoja alikufa kwa ajili ya wote, bassi walikufa wote;


Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.


Neema iwe pamoja na wote wampendao Bwana wetu Yesu pasipo hila. Amin.


Na hii ndiyo sala yangu, pendo lenu lizidi kuwa jingi sana, katika hekima na ufahamu wote;


na neema ya Bwana wetu ilizidi sana pamoja na imani na pendo lililo katika Kristo Yesu.


bali tukienenda nuruni, kama yeye alivyo katika nuru, twashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu Kristo, Mwana wake, yatusafisha dhambi zote.


Watoto, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, biali kwa tendo na kweli.


Sisi twapenda kwa maana yeye kwanza alitupenda sisi.


Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kuzisinka amri zake: na amri zake si nzito.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo