Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Simon akajibu akasema, Nadhani ni yule aliyesamehewa nae mengi. Akamwambia, Umehukumu haki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Simoni akamjibu, “Ni dhahiri kwamba yule aliyesamehewa deni kubwa zaidi atampenda zaidi yule bwana.” Yesu akamwambia, “Sawa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Simoni akamjibu, “Ni dhahiri kwamba yule aliyesamehewa deni kubwa zaidi atampenda zaidi yule bwana.” Yesu akamwambia, “Sawa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Simoni akamjibu, “Ni dhahiri kwamba yule aliyesamehewa deni kubwa zaidi atampenda zaidi yule bwana.” Yesu akamwambia, “Sawa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Simoni akajibu, “Nadhani ni yule aliyesamehewa deni kubwa zaidi.” Naye Isa akamwambia, “Umehukumu kwa usahihi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Simoni akajibu, “Nadhani ni yule aliyesamehewa deni kubwa zaidi.” Naye Isa akamwambia, “Umehukumu kwa usahihi.”

Tazama sura Nakili

Luka 7:43
10 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana wa mtumishi yule akamhurumia, akamfungua, akamsamehe ile deni.

Yesu, alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, Wewe huwi mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu mtu kumsaili neno tena tokea hapo.

Nao walipokuwa wakienenda, akaingia katika kijiji kimoja; na mwanamke mmoja, jina lake Martha, akamkaribisha nyumbani mwake.

Nao wakiwa hawana kitu cha kulipa, akawasamehe wote wawili. Bassi, sema, Katika hawo ni nani atakaempenda zaidi?

Akamgenkia yule mwanamke, akamwambia Simon, Wamwona mwanamke huyu? Naliingia nyumbani mwako, hukunipa maji ya kunawia miguu, bali huyu amenichuruzia miguu kwa machozi yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake.

Kwa ajili hiyo, nakuambia, Amesamehewa dhambi zake zilizo nyingi kwa kuwa amependa sana. Nae asamehewae kidogo hupenda kidogo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo