Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Nao wakiwa hawana kitu cha kulipa, akawasamehe wote wawili. Bassi, sema, Katika hawo ni nani atakaempenda zaidi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Waliposhindwa kulipa madeni yao, huyo mtu aliwasamehe wote wawili. Sasa ni yupi kati ya hao wawili atampenda zaidi huyo bwana?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Waliposhindwa kulipa madeni yao, huyo mtu aliwasamehe wote wawili. Sasa ni yupi kati ya hao wawili atampenda zaidi huyo bwana?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Waliposhindwa kulipa madeni yao, huyo mtu aliwasamehe wote wawili. Sasa ni yupi kati ya hao wawili atampenda zaidi huyo bwana?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Wote wawili walipokuwa hawawezi kulipa, aliyafuta madeni yao wote wawili. Sasa ni yupi kati yao atakayempenda zaidi yule aliyewasamehe?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Wote wawili walipokuwa hawawezi kulipa, aliyafuta madeni yao wote wawili. Sasa ni yupi kati yao atakayempenda yule aliyewasamehe zaidi?”

Tazama sura Nakili




Luka 7:42
23 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana wa mtumishi yule akamhurumia, akamfungua, akamsamehe ile deni.


Bwana wake akaghadhabika, akampeleka kwa watesaji, hatta atakapoilipa deni ile yote.


Utusamehe deni zetu, kama sisi tunavyowasamehe wadeni wetu.


Simon akajibu akasema, Nadhani ni yule aliyesamehewa nae mengi. Akamwambia, Umehukumu haki.


wanapewa haki burre kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Yesu Kristo:


Kwa maana hapo tulipokuwa sisi hatuna nguvu, wakali ulipotimia, Kristo alikufa kwa ajili ya maasi.


Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sharia, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa killa mtu asiodumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sharia, ayafanye.


Katika yeye tuna ukombozi kwa damu yake, masamaha ya dhambi, kwa wingi wa neema yake;


tena mwe wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkiachiliana, kama na Mungu katika Kristo alivyowaachilia ninyi.


mkichukuliana, na kuachiliana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mtu; jinsi Kristo alivyowaachilieni, vivyo hivyo na ninyi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo