Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili: mmoja aliwiwa nae dinari khamsi mia, na wa pili khamsini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 “Watu wawili walikuwa wamemkopa mtu fedha: Mmoja alikuwa amekopa denari 500, na mwingine hamsini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 “Watu wawili walikuwa wamemkopa mtu fedha: Mmoja alikuwa amekopa denari 500, na mwingine hamsini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 “Watu wawili walikuwa wamemkopa mtu fedha: mmoja alikuwa amekopa denari 500, na mwingine hamsini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 “Palikuwa na mtu mmoja aliyewakopesha watu wawili fedha: Mmoja alidaiwa dinari mia tano na mwingine dinari hamsini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 “Palikuwa na mtu mmoja aliyewakopesha watu wawili fedha: Mmoja alidaiwa dinari 500 na mwingine dinari hamsini.

Tazama sura Nakili




Luka 7:41
17 Marejeleo ya Msalaba  

Mtumishi yule akatoka, akamwona mmoja wa wajoli wake, aliyewiwa nae dinari mia; akamkamata, akamshika koo, akinena, Nilipe uwiwacho.


Utusamehe deni zetu, kama sisi tunavyowasamehe wadeni wetu.


Akajibu, akawaambia, Wapeni ninyi chakula: Wakamwambia, Je! twende zetu tukanunue mikate ya dinari miateen tukawape kula?


Utupe leo riziki zetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa maana sisi nasi tunamsamehe killa mtu anaewiwa nasi. Usituingize majaribuni, hali utuokoe na yule mwovu.


na yule asiyejua, nae amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa mapigo machache. Killa aliyepewa vingi kwake huyu vitatakwa vingi: nae waliyemkabidhi vingi, kwake yeye watataka vingi zaidi.


Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara katika Siloam, ukawaangamiza, mwadhani ya kuwa walikuwa wakosaji kuliko watu wote wakaao Yerusalemi?


Yesu akajibu akamwambia, Simon, nina neno la kukuambia. Akanena, Mwalimu, sema.


Kwa ajili hiyo, nakuambia, Amesamehewa dhambi zake zilizo nyingi kwa kuwa amependa sana. Nae asamehewae kidogo hupenda kidogo.


Maana hapana tofauti; kwa sababu wote wamefanya dhambi, wanaona kwamba wamepungukiwii utukufu wa Mungu:


Sharia iliingia illi anguko lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo