Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Yesu akajibu akamwambia, Simon, nina neno la kukuambia. Akanena, Mwalimu, sema.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Yesu akamwambia huyo Mfarisayo, “Simoni, ninacho kitu cha kukuambia.” Naye Simoni akamwambia, “Ndio Mwalimu, sema.” Yesu akasema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Yesu akamwambia huyo Mfarisayo, “Simoni, ninacho kitu cha kukuambia.” Naye Simoni akamwambia, “Ndio Mwalimu, sema.” Yesu akasema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Yesu akamwambia huyo Mfarisayo, “Simoni, ninacho kitu cha kukuambia.” Naye Simoni akamwambia, “Ndio Mwalimu, sema.” Yesu akasema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Isa akamjibu, “Simoni, nina jambo la kukuambia.” Simoni akajibu, “Mwalimu, sema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Isa akanena akamwambia, “Simoni, nina jambo la kukuambia.” Simoni akajibu, “Mwalimu, sema.”

Tazama sura Nakili




Luka 7:40
16 Marejeleo ya Msalaba  

Marra akamwendea Yesu, akasema, Salam, Rabbi, akambusu sana.


Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kufukuza pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?


Na mtu mkuhwa mmoja akamwuliza, akisema, Mwalimu mwema, nifanyeni nipate kuurithi uzima wa milele?


Yesu akafahamu fikara zao akajibu, akawaambia, Mnafikiri nini mioyoni mwenu?


Yesu akajibu, akawaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi:


Lakini yeye akatambua mawazo yao, akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Ondoka, kasimama katikati.


Yule Farisayo aliyemwalika, alipoona haya akasema kimoyomoyo, akinena, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angalimjua huyu ni nani! na ni mwanamke gani anaemgusa, ya kuwa ni mwenye dhambi.


Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili: mmoja aliwiwa nae dinari khamsi mia, na wa pili khamsini.


Ninyi mwaniita Mwalimu, na Bwana; na mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.


Yesu alifahamu ya kwamba walitaka kumwuliza akawaambia, Hili ndilo mnalotafuta ninyi kwa ninyi, ya kuwa nalisema, Bado kitambo nanyi hamnioni, na bado kitambo na mtaniona?


Sasa tumejua ya kuwa unajua yote, wala huhitaji mtu akuulize; kwa hiyo twaamini ya kwamba ulitoka kwa Mungu.


huyu alikuja kwa Yesu usiku, akamwambia, Rabbi, twajua ya kuwa u mwalimu, umetoka kwa Mungu; kwa maana hakuna mtu awezae kuzifanya ishara hizi uzifanyazo wewe, illa Mungu awe pamoja nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo