Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Nao walipolika kwa Yesu, wakamsihi kwa jubudi wakisema,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Walipofika kwa Yesu, walimsihi sana, wakasema: “Huyu anastahili afanyiwe jambo hilo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Walipofika kwa Yesu, walimsihi sana, wakasema: “Huyu anastahili afanyiwe jambo hilo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Walipofika kwa Yesu, walimsihi sana, wakasema: “Huyu anastahili afanyiwe jambo hilo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wale wazee walipofika kwa Isa, wakamsihi sana amsaidie yule jemadari wakisema, “Mtu huyu anastahili wewe umfanyie jambo hili,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wale wazee walipofika kwa Isa, wakamsihi sana amsaidie yule jemadari wakisema, “Mtu huyu anastahili wewe umfanyie jambo hili,

Tazama sura Nakili

Luka 7:4
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na mji wo wote au kijiji cho chote mtakachoingia, tafuteni ni nani humo aliye mtu amini; kakaeni humo hatta mtakapotoka.

Na nyumba ile ikistahili, amani yenu iifikilie: la, haistahili, amani yenu iwarudieni.

bali wao watakaohesabiwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na ufufuo wa wafu, hawaoi wala hawaozwi,

Aliposikia khabari za Yesu akatuma baadhi ya wazee wa Wayahudi kwake, akimwomba aje, amwokoe mtumishi wake.

ya kama, Astahili umtendee neno hili, maana apenda taifu letu, nae alitujengea sunagogi letu.

mtu nitawa, mcha Mungu, yeye na nyumba yake yote, nae alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu siku zote.

Lakini unayo majina machache, hatta katika Sardi, watu wasioyatia uchafu mavazi yao. Nao watakwenda pamoja nami katika mavazi meupe, kwa kuwa wamestahili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo