Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Mtu mmoja katika Mafarisayo akamtaka ale chakula pamoja nae. Akaingia katika nyumba yake yule Farisayo, akaketi chakulani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Mfarisayo mmoja alimwalika Yesu kula chakula nyumbani kwake. Akaingia nyumbani kwa huyo Mfarisayo, akakaa kula chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Mfarisayo mmoja alimwalika Yesu kula chakula nyumbani kwake. Akaingia nyumbani kwa huyo Mfarisayo, akakaa kula chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Mfarisayo mmoja alimwalika Yesu kula chakula nyumbani kwake. Akaingia nyumbani kwa huyo Mfarisayo, akakaa kula chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Basi Farisayo mmoja alimwalika Isa kwake ale chakula. Hivyo Isa akaenda nyumbani mwa yule Farisayo na kuketi mezani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Basi Farisayo mmoja alimwalika Isa nyumbani kwake kwa chakula. Hivyo Isa akaenda nyumbani mwa yule Farisayo na kukaa katika nafasi yake mezani.

Tazama sura Nakili




Luka 7:36
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa akisema, Farisayo mmoja akamwita ale chakula cha assubuhi kwake: akaingia, akaketi.


IKAWA, Yesu alipoingia katika nyumba ya mtu mmoja, mtu mkuu katika Mafarisayo, siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.


Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa, mkasema, Mlafi huyu, na mnywaji wa mvinyo, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi.


Na hekima imepata haki yake kwa watoto wake wote.


Kumbe! Mwanamke mmoja katika mji ule ahyekuwa mwenye dhambi, alipopata khabari ya kuwa ameketi katika nyumba ya yule Farisayo, akaleta chupa cha alabastro yenye marhamu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo