Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Wamefanana na watoto, waketio sokoni, wakiitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi nanyi hamkucheza, tuliomboleza, nanyi hamkulia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao, wakisema: “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkulia.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao, wakisema: “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkulia.’

Tazama sura Nakili

Luka 7:32
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akatoka muamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;

Bwana akasema, Nitawafananisha na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini?

Kwa maana Yohana Mbatizaji amekuja, hali mkate, wala hanywi divai, mkasema, Yuna pepo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo