Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Bali Mafarisayo na wana sharia walijikatalia shauri la Mungu kwa kuwa hawakubatizwa nae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Lakini Mafarisayo na waalimu wa sheria walikataa mpango wa Mungu uliowahusu, wakakataa kubatizwa na Yohane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Lakini Mafarisayo na waalimu wa sheria walikataa mpango wa Mungu uliowahusu, wakakataa kubatizwa na Yohane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Lakini Mafarisayo na waalimu wa sheria walikataa mpango wa Mungu uliowahusu, wakakataa kubatizwa na Yohane.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Lakini Mafarisayo na wataalamu wa Torati walikataa mpango wa Mungu kwao kwa kutokubali kubatizwa na Yahya.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Lakini Mafarisayo na wataalamu wa Torati walikataa mpango wa Mungu kwao kwa kutokubali kubatizwa na Yahya.)

Tazama sura Nakili

Luka 7:30
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mmoja wao, mwana sharia, akamwuliza, akimjaribu; akinena,

Ee Yerusalemi, Yerusalemi, uwauae manabii na kuwapiga mawe wao waliotumwa kwako! marra ngapi nimetaka kuwakusanya watoto wako kama vile kuku avikusanyavyo vifaranga vyake chini ya mbawa zake, wala hanikutaka!

Bali tukisema, Kwa wana Adamu, watu wote watatupiga mawe: kwa sababu wamesadiki ya kuwa Yohana ni nabii.

Bwana akasema, Nitawafananisha na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini?

Kwa maana sikujiepusha na kuwakhubirini khabari ya shauri lote la Mungu.

Lakini kwa israeli asema, Mchana kutwa naliwanyoshea mikono watu wasiotii na ubishi.

NASI tukitenda kazi pamoja nae tunakusihini msiipokee neema ya Mungu burre,

Siibatili neema ya Munga. Maana, ikiwa haki hupatikana kwa sharia, bassi, Kristo alikufa burre.

ambae ndani yake sisi tumepata urithi, tukichaguliwa tangu awali kwa kusudi lake yeye afanyae yote kwa shauri la nia yake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo