Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Aliposikia khabari za Yesu akatuma baadhi ya wazee wa Wayahudi kwake, akimwomba aje, amwokoe mtumishi wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yule jemadari aliposikia habari za Yesu, aliwatuma wazee fulani Wayahudi waende kumwomba aje kumponya mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yule jemadari aliposikia habari za Yesu, aliwatuma wazee fulani Wayahudi waende kumwomba aje kumponya mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yule jemadari aliposikia habari za Yesu, aliwatuma wazee fulani Wayahudi waende kumwomba aje kumponya mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Jemadari huyo aliposikia habari za Isa, aliwatuma wazee wa Wayahudi kwake, wakamwomba aje kumponya mtumishi wa huyo jemadari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Jemadari huyo aliposikia habari za Isa, aliwatuma wazee wa Kiyahudi kwake, wakamwomba aje kumponya mtumishi wa huyo jemadari.

Tazama sura Nakili




Luka 7:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta Yesu alipoingia Kapernaum, akida alimjia, akamsihi,


Na mtumishi wa akida mmoja alikuwa hawezi, karibu kufa, nae ni mtu aliyependwa nae sana.


Nao walipolika kwa Yesu, wakamsihi kwa jubudi wakisema,


Na tazama, mtu mmoja jina lake Yairo akamjia: nae alikuwa mkuu wa sunagogi: akaanguka miguuni pa Yesu, akamsihi aingie nyumbani mwake:


Na tazama, mtu mmoja katika ule mkutano akapaaza sauti yake, akisema, Mwalimu, nakuomha, mwangalie mwanangu, kwa kuwa yeye ni mwanangu pekee;


Huyu aliposikia ya kwamba Yesu amekuja kutoka Yahudi hatta Galilaya, akamwendea, akamsihi ashuke akamponye mwana wake; kwa maana alikuwa kufani.


Nakusihi kwa ajili ya mtoto wangu niliyemzaa katika mafungo yangu, Onesimo,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo