Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Huyu ndiye aliyeandikiwa, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako atakaeitengeneza njia yako mbele yako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Huyu Yohane ndiye anayesemwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Tazama mimi namtuma mtumishi wangu akutangulie; ambaye atakutayarishia njia yako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Huyu Yohane ndiye anayesemwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Tazama mimi namtuma mtumishi wangu akutangulie; ambaye atakutayarishia njia yako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Huyu Yohane ndiye anayesemwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Tazama mimi namtuma mtumishi wangu akutangulie; ambaye atakutayarishia njia yako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Huyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: “ ‘Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Huyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa: “ ‘Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako.’

Tazama sura Nakili

Luka 7:27
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana huyo ndiye aliyeandikiwa, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako. Atakaeitengeneza njia yako mbele yako.

kama ilivyoandikwa katika chuo cha manabii, Angalia, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako, Atakaefanyiza njia yako mbele yako.

Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;

Bali mlitoka kwenda kuona nini? Nabii? Naam, nawaambieni, na aliye zaidi ya nabii.

Maana nawaambieni, Katika wazao wa wanawake hapana nabii aliye mkuu kuliko Yobana Mbatizaji: lakini aliye mdogo katika ufalme wa Mungu ni mkuu kuliko yeye.

Akasema, Mimi ni sauti ya mtu apaazae sauti jangwani, Inyosheni njia ya Bwana! kama alivyonena nabii Isaya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo