Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Bali mlitoka kwenda kuona nini? Nabii? Naam, nawaambieni, na aliye zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi, niambieni, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi, niambieni, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi, niambieni, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, hakika ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Lakini mlienda kuona nini? Mlienda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Lakini mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.

Tazama sura Nakili




Luka 7:26
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;


Torati na manabii zilikuwako mpaka Yohana. Tangu wakati ule, khabari njema ya ufalme wa Mungu inakhubiriwa, na killa mtu anauingia kwa nguvu.


Bali tukisema, Kwa wana Adamu, watu wote watatupiga mawe: kwa sababu wamesadiki ya kuwa Yohana ni nabii.


Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi meroro? Fahamuni, watu wenye nguo za umalidadi na kuishi maisha ya anasa wamo katika majumba ya wafalme.


Huyu ndiye aliyeandikiwa, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako atakaeitengeneza njia yako mbele yako.


Yeye alikuwa taa iwakayo na kuangaza, na ninyi mlipenda kuishangilia nuru yake kitambo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo