Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi meroro? Fahamuni, watu wenye nguo za umalidadi na kuishi maisha ya anasa wamo katika majumba ya wafalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Basi, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona mtu aliyevaa mavazi maridadi? Wanaovaa mavazi maridadi na kuishi maisha ya anasa, hukaa katika majumba ya wafalme!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Basi, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona mtu aliyevaa mavazi maridadi? Wanaovaa mavazi maridadi na kuishi maisha ya anasa, hukaa katika majumba ya wafalme!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Basi, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona mtu aliyevaa mavazi maridadi? Wanaovaa mavazi maridadi na kuishi maisha ya anasa, hukaa katika majumba ya wafalme!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kama sivyo, mlienda kuona nini basi? Mtu aliyevaa mavazi ya kifahari? La hasha! Watu wanaovaa mavazi ya kifahari na kuishi maisha ya anasa wako katika majumba ya kifalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kama sivyo, mlikwenda kuona nini basi? Mtu aliyevaa mavazi ya kifahari? La hasha, watu wanaovaa mavazi ya kifahari na kuishi maisha ya anasa wako katika majumba ya kifalme.

Tazama sura Nakili




Luka 7:25
16 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mlitoka kwenda kuona nini? Mtu aliyevikwa mavazi meroro? Watu wavaao mavazi meroro, wamo katika nyumba za wafalme.


Yohana mwenyewe alikuwa na mavazi yake ya singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.


lakini nawaambieni, ya kwamba hatta Sulemani katika utukufu wake wote hakuvikwa kama moja la hayo.


Palikuwa na mtu tajiri, aliyevaa porfuro na bafuta, akafanya furaha kilia siku na anasa.


Na wale wajumbe wa Yohana, walipokwisha kwenda zao, akaanza kuwaambia makutano khabari za Yohana, Mlitoka kwenda jangwani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo?


Bali mlitoka kwenda kuona nini? Nabii? Naam, nawaambieni, na aliye zaidi ya nabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo