Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Saa ileile akawaponya watu wengi maradhi zao, na misiba yao, na pepo wabaya: na vipofu wengi akawakarimia kuona.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Wakati huohuo, Yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya na kuwawezesha vipofu wengi kuona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Wakati huohuo, Yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya na kuwawezesha vipofu wengi kuona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Wakati huohuo, Yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya na kuwawezesha vipofu wengi kuona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wakati huo huo, Isa aliwaponya wengi waliokuwa na magonjwa, maradhi na pepo wachafu, na pia akawafungua vipofu wengi macho wakapata kuona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wakati huo huo, Isa aliwaponya wengi waliokuwa na magonjwa, maradhi na pepo wachafu, na pia akawafungua vipofu wengi macho wakapata kuona.

Tazama sura Nakili

Luka 7:21
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Maana aliponya wengi, hatta wote waliokuwa na misiba wakamrukia wapate kumgusa.

Marra chemchemi ya damu yake ikakauka, akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.

Akamwambia, Binti imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, ukawe mzima, usiwe na msiba wako tena.

Bassi watu hawo walipofika kwake wakasema, Yohana Mbatizaji ametutuma kwako, akisema, Wewe ndiye ajae au tumtazamie mwingine?

Maana yeye ambae Bwana humpenda, humrudi, Nae humpiga killa mwana amkubaliye.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo