Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Bassi watu hawo walipofika kwake wakasema, Yohana Mbatizaji ametutuma kwako, akisema, Wewe ndiye ajae au tumtazamie mwingine?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Wale wanafunzi walipomfikia Yesu wakamwambia, “Yohane Mbatizaji ametutuma kwako tukuulize: ‘Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Wale wanafunzi walipomfikia Yesu wakamwambia, “Yohane Mbatizaji ametutuma kwako tukuulize: ‘Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Wale wanafunzi walipomfikia Yesu wakamwambia, “Yohane Mbatizaji ametutuma kwako tukuulize: ‘Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Wale watu walipofika kwa Isa wakamwambia, “Yahya ametutuma tukuulize, ‘Wewe ndiwe yule aliyekuwa aje, au tumtazamie mwingine?’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Wale watu walipofika kwa Isa wakamwambia, “Yahya ametutuma tukuulize, ‘Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 7:20
3 Marejeleo ya Msalaba  

SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,

Yohana akaita wawili katika wanafunzi wake akawapeleka kwa Yesu, akisema, Wewe ndiye yule ajae, au tumtazamie mwingine?

Saa ileile akawaponya watu wengi maradhi zao, na misiba yao, na pepo wabaya: na vipofu wengi akawakarimia kuona.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo