Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 7:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Bassi wanafunzi wake Yohana wakamwarifu haya yofe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Wanafunzi wa Yohane walimhabarisha Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Wanafunzi wa Yohane walimhabarisha Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Wanafunzi wa Yohane walimhabarisha Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Wanafunzi wa Yahya wakamweleza Yahya mambo haya yote. Hivyo Yahya akawaita wanafunzi wake wawili

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Wanafunzi wa Yahya wakamweleza Yahya mambo haya yote. Hivyo Yahya akawaita wanafunzi wake wawili

Tazama sura Nakili

Luka 7:18
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wake wakaenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika; wakaenda wakampasha Yesu khabari.

Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabbi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ngʼambu ya Yardani, uliyemshuhudia wewe, huyu nae anabatiza, na watu wote wanamwendea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo