Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Zikatoka hizo khabari zake katika Yahudi yote, na katika inchi yote iliyozunguka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Habari hizi za mambo aliyoyafanya Isa zikaenea Yudea yote na sehemu zote za jirani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Habari hizi za mambo aliyoyafanya Isa zikaenea Uyahudi wote na sehemu zote za jirani.

Tazama sura Nakili




Luka 7:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Zikaenea khabari hizi katika inchi ile yote.


Lakini wakatoka, wakaeneza khabari zake katika inchi ile yote.


Khahari zake zikaenea marra inchi zote kando ya Galilaya.


Mfalme Herode akasikia khabari; kwa maana jina lake limepata kutangaa, akanena, Yohana Mbatizaji amefufuka, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake. Wengine walinena, Yu Eliya.


Yesu akarudi kwa nguvu za Roho hatta Galilaya, khabari zake zikaenea katika inchi yote iliyo kando kando.


Akaenda karibu, akaligusa jeneza; wale wachukuzi wakasimama. Akasema, Kijana, nakuambia, Ondoka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo