Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Akaenda karibu, akaligusa jeneza; wale wachukuzi wakasimama. Akasema, Kijana, nakuambia, Ondoka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Kisha, akaenda akaligusa lile jeneza, na wale waliokuwa wamelichukua wakasimama. Halafu akasema, “Kijana! Nakuamuru, amka!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Kisha, akaenda akaligusa lile jeneza, na wale waliokuwa wamelichukua wakasimama. Halafu akasema, “Kijana! Nakuamuru, amka!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Kisha, akaenda akaligusa lile jeneza, na wale waliokuwa wamelichukua wakasimama. Halafu akasema, “Kijana! Nakuamuru, amka!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kisha akalikaribia jeneza, akaligusa. Nao wale waliokuwa wamelibeba wakasimama. Akasema, “Kijana, nakuambia, inuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kisha akasogea mbele akaligusa lile jeneza na wale waliokuwa wamelibeba wakasimama kimya. Akasema, “Kijana, nakuambia inuka.”

Tazama sura Nakili




Luka 7:14
20 Marejeleo ya Msalaba  

Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.


Na Bwana alipomwona, akamhurumia, akamwambia, Usilie.


Yule maiti akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake.


Zikatoka hizo khabari zake katika Yahudi yote, na katika inchi yote iliyozunguka.


Yesu akamwambia, Mimi ni ufufuo na uzima; aniaminiye mimi, ijapo afe, atakuwa ataishi,


Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha awatakao.


Amin, amin, nawaambieni, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hayi.


(kama ilivyoandikwa, Nimekuweka kuwa baba wa mataifa mengi) mbele zake aliyemwamini, yaani Mungu, mwenye kuwahuisha wafu, avitajae vitu visivyokuwa kana kwamba vimekuwa.


kwa kuwa yanayotendeka nao kwa siri, ni aibu hatta kuyanena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo