Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 7:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Ikawa khalafu yake, akaenda mji uitwao Nain, wanafunzi wake na watu wengi wakafuatana nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Baadaye kidogo, Yesu alikwenda katika mji mmoja uitwao Naini, na wafuasi wake na kundi kubwa la watu waliandamana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Baadaye kidogo, Yesu alikwenda katika mji mmoja uitwao Naini, na wafuasi wake na kundi kubwa la watu waliandamana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Baadaye kidogo, Yesu alikwenda katika mji mmoja uitwao Naini, na wafuasi wake na kundi kubwa la watu waliandamana naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Baadaye kidogo, Isa alienda katika mji mmoja ulioitwa Naini. Nao wanafunzi wake na umati mkubwa wa watu walienda pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Baadaye kidogo, Isa alikwenda katika mji mmoja ulioitwa Naini. Nao wanafunzi wake na umati mkubwa wa watu walikwenda pamoja naye.

Tazama sura Nakili




Luka 7:11
3 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi wale waliotumwa waliporudi nyumbani kwake, wakamkuta yule mtumishi, aliyekuwa hawezi, yu mzima.


Bassi, alipokaribia lango la mji, hapo palikuwa na maiti anachukuliwa nje, mwana pekee wa mama yake, nae mjane; na watu wa mji wengi pamoja nae.


khabari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na uguvu: nae akatembea huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Shetani; kwa maana Mungu alikuwa pamoja nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo