Luka 7:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Bassi wale waliotumwa waliporudi nyumbani kwake, wakamkuta yule mtumishi, aliyekuwa hawezi, yu mzima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. Tazama sura |