Luka 7:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 ALIPOKWISHA kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu akaingia Kapernaum. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote kwa watu waliokuwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote watu wakiwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. Tazama sura |