Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 6:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Yesu akawaambia, Nitawaulizeni neno moja. Ni halali siku ya Sabato kutenda mema au kutenda mabaya? kuokoa roho au kuua?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kisha Yesu akawaambia, “Nawaulizeni, je, ni halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuyaangamiza?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kisha Yesu akawaambia, “Nawaulizeni, je, ni halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuyaangamiza?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kisha Yesu akawaambia, “Nawaulizeni, je, ni halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuyaangamiza?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ndipo Isa akawaambia wale walimu wa Torati na Mafarisayo, “Nawauliza ninyi, ni lipi lililo halali siku ya Sabato? Ni kutenda mema au kutenda mabaya? Ni kuokoa maisha au kuyaangamiza?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ndipo Isa akawaambia wale walimu wa Torati na Mafarisayo, “Nawauliza ninyi, ni lipi lililo halali siku ya Sabato? Ni kutenda mema au kutenda mabaya? Ni kuokoa maisha au kuyaangamiza?”

Tazama sura Nakili

Luka 6:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Ni halali siku ya sabato kutenda mema, au kutenda mabaya? kuokoa roho au kuua? Wakanyamaza.

Yesu akajibu akawaambia wana sharia na Mafarisayo, akisema, Je? ni halali kuponya siku ya sabato, ama sivyo? Wakanyamaza.

Akawakazia macho wote pande zote, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako.

Lakini yeye akatambua mawazo yao, akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Ondoka, kasimama katikati.

Maana Mwana wa Adamu hakuja kuziangamiza roho za wana Adamu, bali kuziokoa. Wakaenda zao hatta mji mwingine.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo