Luka 6:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Mafarisavo na waandishi wakamvizia kuona kwamba ataponya siku ya Sabato, wapate kumshitaki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Waalimu wa sheria na Mafarisayo walitaka kupata kisa cha kumshtaki Yesu na hivyo wakawa wanangojea waone kama angemponya mtu siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Waalimu wa sheria na Mafarisayo walitaka kupata kisa cha kumshtaki Yesu na hivyo wakawa wanangojea waone kama angemponya mtu siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Waalimu wa sheria na Mafarisayo walitaka kupata kisa cha kumshtaki Yesu na hivyo wakawa wanangojea waone kama angemponya mtu siku ya Sabato. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mafarisayo na walimu wa Torati walikuwa wakitafuta sababu ya kumshtaki Isa. Kwa hivyo wakawa wanamwangalia sana ili waone kama ataponya katika siku ya Sabato. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mafarisayo na walimu wa Torati walikuwa wakitafuta sababu ya kumshtaki Isa. Kwa hivyo wakawa wanamwangalia sana ili waone kama ataponya katika siku ya Sabato. Tazama sura |