Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 6:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Akawaambia ya kwamba, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato pia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kisha Isa akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Isa akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”

Tazama sura Nakili




Luka 6:5
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Sabato ilikuwa kwa ajili ya mwana Adamu, si mwana Adamu kwa ajili ya sabato.


Likawako wingu, likawatia uvuli: sauti ikatoka katika lile wingu, Huyu ui Mwana wangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.


jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaitwaa mikate iliyotolewa kwa Mungu, akaila, akawapa na hawo waliokuwa pamoja nae, isiyo halali kuliwa illa na makuhani peke yao?


Ikawa Sabato nyingine akaingia katika sunagogi, akafundislia: na palikuwako huko mtu mwenye mkono umepooza, mkono wa kuume.


Nalikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya baragumu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo