Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 6:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Ya nini kuniita Bwana, Bwana, nanyi hamyatendi niyanenayo?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 “Mbona mwaniita ‘Bwana, Bwana,’ na huku hamtimizi yale ninayosema?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 “Mbona mwaniita ‘Bwana, Bwana,’ na huku hamtimizi yale ninayosema?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 “Mbona mwaniita ‘Bwana, Bwana,’ na huku hamtimizi yale ninayosema?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 “Kwa nini mnaniita, ‘Bwana, Bwana,’ nanyi hamfanyi ninayowaambia?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 “Kwa nini mnaniita, ‘Bwana, Bwana,’ nanyi hamfanyi ninayowaambia?

Tazama sura Nakili




Luka 6:46
9 Marejeleo ya Msalaba  

Khalafu wakaja na wale wanawali wengine, wakinena, Bwana, Bwana, utufungulie.


Akaja na yule aliyepokea talanta moja, akasema, Bwana, nalitambua ya kuwa wewe u mtu mgumu, wavuna usipopanda, wakusanya usipotawanya:


Ndipo hawo pia watajibu, wakinena, Bwana, lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikukhudumu?


Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.


Mwe watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, mkijidanganya nafsi zenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo