Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 6:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Kwa maana killa mti hujulikana kwa matunda yake. Kwa kuwa katika miiba hawachumi tini, wala katika michongoma hawachumi zabibu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Watu huutambua mti kutokana na matunda yake. Ni wazi kwamba watu hawachumi tini katika michongoma, wala hawachumi zabibu katika mbigili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Watu huutambua mti kutokana na matunda yake. Ni wazi kwamba watu hawachumi tini katika michongoma, wala hawachumi zabibu katika mbigili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Watu huutambua mti kutokana na matunda yake. Ni wazi kwamba watu hawachumi tini katika michongoma, wala hawachumi zabibu katika mbigili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Kila mti hujulikana kwa matunda yake. Kwa maana watu hawachumi tini kwenye miiba, wala zabibu kwenye michongoma.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Kila mti hujulikana kwa matunda yake. Kwa maana watu hawachumi tini kwenye miiba, wala zabibu kwenye michongoma.

Tazama sura Nakili

Luka 6:44
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya na matunda yake mabaya, kwa maana kwa matunda yake mti hujulikana.

Mtawalambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

Bassi kwa matunda yao mtawatambua.

Ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mazeituni au mzabibu tini? Kadhalika chemchemi haiwezi kutoa maji ya chumvi na niaji matamu.

Watu hawa ni miamba yenye khatari katika karamu zenu za upendo wafanyapo karamu pamoja nanyi, wakijilisha pasipo khofu; ni mawingu yasiyo na maji, yachukuliwayo na upepo; ni miti iliyopukutika, isiyo na matunda, iliyokufa marra mbili, na kungʼolewa kabisa;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo