Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 6:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaitwaa mikate iliyotolewa kwa Mungu, akaila, akawapa na hawo waliokuwa pamoja nae, isiyo halali kuliwa illa na makuhani peke yao?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu, akala na kuwapa wenzake. Haikuruhusiwa mtu kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu, akala na kuwapa wenzake. Haikuruhusiwa mtu kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu, akala na kuwapa wenzake. Haikuruhusiwa mtu kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Aliingia ndani ya nyumba ya Mungu, akaichukua na kuila ile mikate iliyowekwa wakfu, ambayo ni halali kuliwa na makuhani tu. Naye pia akawapa wenzake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Aliingia ndani ya nyumba ya Mungu, akaichukua na kuila ile mikate iliyowekwa wakfu, ambayo ni halali kuliwa na makuhani peke yao. Naye pia akawapa wenzake.”

Tazama sura Nakili

Luka 6:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate iliyotolewa kwa Mungu, isiyo halali kuliwa nae wala na wenzi wake, illa na makuhani peke yao?

Akawaambia ya kwamba, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato pia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo