Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 6:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Na mkikopesha watu mkitumaini kupata kitu kwao tena, mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi hukopesha wenye dhambi, illi wapokee sawasawa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Na kama mnawakopesha wale tu mnaotumaini watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao ili warudishiwe kima kilekile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Na kama mnawakopesha wale tu mnaotumaini watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao ili warudishiwe kima kilekile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Na kama mnawakopesha wale tu mnaotumaini watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao ili warudishiwe kima kilekile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Tena mnapowakopesha wale tu mnaotegemea wawalipe, mwapata sifa gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao wakitarajia kulipwa mali yao yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Tena mnapowakopesha wale tu mnaotegemea wawalipe, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwakopesha ‘wenye dhambi’ wenzao wakitarajia kulipwa mali yao yote.

Tazama sura Nakili

Luka 6:34
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akuombae, mpe; nae atakae kukopa kwako, usimpe kisogo.

Na mkiwatenda mema wao wawatendao ninyi mema, mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

Bali wapendeni adui zenu, katendeni kwa ihsani, kopeshani, bali kutumaini kupata kitu tena: na thawabu yenu itakuwa nyingi, na mtakuwa wana wa Aliye juu sana; kwa sabahu Yeye yu mwema kwa watu wasio na shukrani, na waovu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo