Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 6:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Na mkiwatenda mema wao wawatendao ninyi mema, mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Tena, kama mkiwatendea mema wale tu wanaowatendeeni mema, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi hufanya hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Tena, kama mkiwatendea mema wale tu wanaowatendeeni mema, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi hufanya hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Tena, kama mkiwatendea mema wale tu wanaowatendeeni mema, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi hufanya hayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Tena mkiwatendea mema wale tu wanaowatendea ninyi mema, mwapata sifa gani? Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Tena mkiwatendea mema wale tu wanaowatendea ninyi mema, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ hufanya vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili




Luka 6:33
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi mkiwajienda wao wawapendao ninyi mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi huwapenda wao wawapendao.


Na mkikopesha watu mkitumaini kupata kitu kwao tena, mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi hukopesha wenye dhambi, illi wapokee sawasawa.


watende mema, wawe matajiri kwa kutenda mema, wawe tayari kutoa mali zao, washirikiane na wengine kwa moyo,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo