Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 6:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Bassi mkiwajienda wao wawapendao ninyi mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi huwapenda wao wawapendao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 “Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 “Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 “Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 “Mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 “Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwapenda wale wawapendao.

Tazama sura Nakili

Luka 6:32
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na mkiwatenda mema wao wawatendao ninyi mema, mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo