Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 6:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Yesu akajibu, akawaambia, Hatta neno hili hamkulisoma, alilolitenda Daud, alipokuwa na njaa, yeye nao waliokuwa pamoja nae,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma jinsi alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma jinsi alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma jinsi alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Isa akawajibu, “Je, ninyi hamjasoma alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Isa akawajibu, “Je, ninyi hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa?

Tazama sura Nakili




Luka 6:3
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akajihu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,


wakamwambia, Wasikia hawa wanenavyo? Yesu akawaambia, Naam; hamkupata kusoma, Kwa vinywa vya watoto wachanga na wanyonyao umekamilisha sifa?


Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hili lilikuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?


Tena katika khabari ya kiyama ya wafu, hamjaiisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,


Akafunga siku arubaini mchana na usiku, baadae akaona njaa.


Hatta andiko hili hamjalisoma? Jiwe walilokataa waashi Hili limekuwa jiwe kuu la pembeni.


Na katika khabari ya wafu ya kwamba wafufuka, hamjasoma katika Kitabu cha Musa, mwenye Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akinena, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaak, na Mungu wa Yakobo?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo