Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 6:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Akupigae shavu moja, umgeuzie la pili, nae akunyangʼanyae joho yako usimzuilie na kanzu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Mtu akikupiga shavu moja mgeuzie pia la pili. Mtu akikunyanganya koti lako mwachie pia shati lako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Mtu akikupiga shavu moja mgeuzie pia la pili. Mtu akikunyanganya koti lako mwachie pia shati lako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Mtu akikupiga shavu moja mgeuzie pia la pili. Mtu akikunyang'anya koti lako mwachie pia shati lako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyang’anya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyang’anya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia.

Tazama sura Nakili




Luka 6:29
15 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wakamtemea mate va uso, wakampiga konde; wengine wakampiga makofi,


Wakamfunika macho, wakamwuliza, wakisema, Fanya unabii, ni nani aliyekupiga?


Killa akuombae mpe; nae akunyangʼanyae mali zako, usitake akurudishie.


Aliposema maneno haya, mmoja wa wale watumishi aliyesimama karibu akampiga Yesu koli, akinena, Wamjibu hivi kuhani mkuu?


Kuhani akawaamuru wale waliosimama karibu kumpiga kinywa chake.


Hatta saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tu uchi, twapigwa makofi, hatuna makao;


Bassi imekuwa upungufu kwenu kabisa kwamba mnashitakiana ninyi kwa ninyi. Maana si afadhali kudhulumiwa? Maana si afadhali kunyangʼanywa mali zenu?


Maana mwavumilia na mtu akiwatieni utumwani, akiwameza, akiwateka, akijikuza, akiwapiga usoni.


Maana mliwaonea huruma wale waliokuwa katika mafungo, mkakubali kwa furaba kunyangʼauywa mali zenu, mkijua nafsini mwenu kwamba mna mali mbinguni iliyo njema zaidi, idumnyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo