Luka 6:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 nao waliosumbuliwa na pepo wachafu; wakaponywa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Walikuwa wamekuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. Wale waliokuwa wakiteswa na pepo wachafu akawaponya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Walikuwa wamekuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. Wale waliokuwa wakiteswa na pepo wachafu akawaponya. Tazama sura |