Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 6:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ikawa katika siku hizo Isa alienda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ikawa katika siku hizo Isa alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.

Tazama sura Nakili




Luka 6:12
23 Marejeleo ya Msalaba  

NAE akivaona makutano, akapanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake wakamjia;


Bali wewe usalipo, ingia chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele ya Baba yako aliye kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.


Hatta alfajiri na mapema sana, akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipo watu akasali huko.


Akapanda mlimani, akawaita aliowataka mwenyewe; wakamwendea.


Hatta alipokwisha kuagana nao akaenda zake mlimani kusali.


Lakini yeye alikuwa akijitenga jangwani na kusali.


Akatenda hivyo. Mkono wake ukapona, ukawa mzima kama wa pili. Nao wakatekewa moyo: wakisemezana wao kwa wao, wamtendeje Yesu.


Akatelemka pamoja nao, akasimama panapo uwanda, pamoja na kundi la wanafunzi wake, na kundi la watu waliotoka Yahudi wote, na Yerusalemi, na pwani ya Turo na Sidon, waliokuja wamsikilize na kuponywa maradhi zao;


Ikawra alipokuwa akisali peke yake wanafunzi wake walikuwa pamoja nae: akawanliza, akisema, Makutano huninena mimi kuwa nani?


Hatta baada ya maneno haya, panapo siku nane, akamchukua Petro na Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kusali.


Ikawa alipokuwa akisali, sura ya uso wake ikageuka, na mavazi yake yakawa meupe, yakimetameta.


Yesu akapanda mlimani, akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.


Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani,


Yeye siku hizo za niwili wake alimtolea yeye awezae kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa sababu ya kicho chake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo