Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 6:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Akatenda hivyo. Mkono wake ukapona, ukawa mzima kama wa pili. Nao wakatekewa moyo: wakisemezana wao kwa wao, wamtendeje Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Wale wakuu wakakasirika sana, wakashauriana wao kwa wao ni nini watakachomtendea Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Wale wakuu wakakasirika sana, wakashauriana wao kwa wao ni nini watakachomtendea Isa.

Tazama sura Nakili




Luka 6:11
16 Marejeleo ya Msalaba  

Wakabishana wao kwa wao, wakinena, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate.


Makuhani wakuu na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, wakatambua ya kuwa anawanena wao.


Wakajazwa hasira wote katika sunagogi walipoyasikia haya.


Akawakazia macho wote pande zote, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako.


Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.


Bassi makuhani wakuu na Mafarisayo wakakusanya baraza, wakanena, Tunafanya nini? Maana mtu huyu afanya ishara nyingi.


NA baada ya haya Yesu akawa akitembea katika Galilaya: maana hakutaka kutembea katika Yahudi, kwa sababu Wayahudi walikuwa wakitafuta kumwua.


Na marra nyingi katika masunagogi mengi naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama nina wazimu, nikawaudhi hatta katika miji ya ugenini.


Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakafanya shauri, wakisemii, Tuwafanyieni watu hawa?


Petro na Yohana wakawajibu wakawaambia,


Waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakafanya shauri kuwaua.


Bassi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.


Lakini hawataendelea sana; maana upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote kama na wa hao ulivyokuwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo