Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 6:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Akawakazia macho wote pande zote, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Akawatazama watu wote waliokuwepo, kisha akamwambia yule mtu, “Nyoosha mkono wako!” Akaunyoosha, na mkono wake ukawa umeponywa kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Akawatazama watu wote waliokuwepo, kisha akamwambia yule aliyepooza mkono, “Nyoosha mkono wako!” Akaunyoosha na mkono wake ukaponywa kabisa.

Tazama sura Nakili

Luka 6:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akawakazia macho pande zote kwa ghadhabu, akiona huzuni kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao, akamwambia yule mtu. Nyosha mkono wako. Akaunyosha: mkono wake ukapona ukawa mzima kama wa pili:

Akatenda hivyo. Mkono wake ukapona, ukawa mzima kama wa pili. Nao wakatekewa moyo: wakisemezana wao kwa wao, wamtendeje Yesu.

Yesu akawaambia, Nitawaulizeni neno moja. Ni halali siku ya Sabato kutenda mema au kutenda mabaya? kuokoa roho au kuua?

Yesu akamwambia, Simama, jitwike kitanda chako, ukaende.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo