Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Kwa maana ushangao umemshika yeye, na wote waliokuwako pamoja nae, kwa uvuvi wa samaki walioupata.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata.

Tazama sura Nakili

Luka 5:9
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana yake hakujua la kunena, kwa kuwa waliingiwa na khofu nyingi.

Wote waliosikia wakataajabu kwa yale waliyoambiwa na wachungaji.

wakashangaa mno kwa mafundisho yake, kwa sababu neno lake lilikuwa na uweza.

Ushangao ukawashika wote, wakaambiana wao kwa wao, wakinena, Neno gani hili, maana kwa mamlaka na uweza awaamuru pepo wachafu, nao watoka?

Kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washiriki wa Simon, Yesu akamwambia Simon, Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.

Simon Petro alipoona haya, akaanguka magotini pa Yesu, akasema, Toka kwangu, kwa sababu mimi ni mtu mwenye dhambi, Bwana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo