Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Simon akajibu, akasema, Bwana, tulisumbuka usiku kucha, tusipate kitu: illakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Simoni akamjibu, “Bwana, tumejitahidi kuvua samaki usiku kucha bila kupata kitu, lakini kwa kuwa umesema, nitatupa nyavu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Simoni akamjibu, “Bwana, tumejitahidi kuvua samaki usiku kucha bila kupata kitu, lakini kwa kuwa umesema, nitatupa nyavu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Simoni akamjibu, “Bwana, tumejitahidi kuvua samaki usiku kucha bila kupata kitu, lakini kwa kuwa umesema, nitatupa nyavu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Simoni akamjibu, “Bwana, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha na hatukuvua chochote. Lakini, kwa neno lako nitazishusha nyavu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Simoni akamjibu, “Bwana, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha na hatukuvua chochote. Lakini, kwa neno lako nitazishusha nyavu.”

Tazama sura Nakili

Luka 5:5
14 Marejeleo ya Msalaba  

nao wakapaaza sauti zao wakisema, Yesu, Bwana, uturehemu.

Wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Mwalimu, Mwalimu, tunaangamia. Akaondoka, akaukemea upepo, na msukosuko wa maji, vikakoma, kukawa shwari.

Yesu akasema, Ni nani aliyenigusa? Bassi watu wote walipokana, Petro nao walio pamoja nae wakamwambia, Bwana, Makutano wanakuzunguka na kukusonga, nawe unasema, Ni nani aliyenigusa?

Ikawa hawo walipokuwa wakijitenga nae, Petro akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa: na tufanye vibanda vitatu, kimoja chako wewe, kimoja cha Musa, kimoja cha Eliya: nae hajui asemalo.

Yohana akajibu, akasema, Mwalimu, tulimwona mtu anafukuza pepo kwa jina lako, tukamkataza kwa kuwa hatufuati sisi.

Ninyi m rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.

Mama yake akawaambia watumishi, Lo lote atakalowaambieni fanyeni.

Simon Petro akawaambia, Ninakwenda kuvua samaki. Wakamwambia, Na sisi tutakwenda pamoja nawe. Wakatoka, wakapanda chomboni; na usiku ule hawakupata kitu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo