Luka 5:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Alipokwisha kusema, akamwambia Simon, Sogea hatta kilindini, mkashushe nyavu zenu kwa uvuvi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Alipomaliza kufundisha, akamwambia Simoni, “Endesha mashua mpaka kilindini, mkatupe nyavu zenu mpate kuvua samaki.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Alipomaliza kufundisha, akamwambia Simoni, “Endesha mashua mpaka kilindini, mkatupe nyavu zenu mpate kuvua samaki.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Alipomaliza kufundisha, akamwambia Simoni, “Endesha mashua mpaka kilindini, mkatupe nyavu zenu mpate kuvua samaki.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Alipomaliza kunena, akamwambia Simoni, “Sasa peleka mashua hadi kilindini kisha mshushe nyavu zenu mkavue samaki.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Alipomaliza kunena, akamwambia Simoni, “Sasa peleka mashua hadi kilindini kisha mshushe nyavu zenu mkavue samaki.” Tazama sura |