Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Wala hakuna mtu anywae divai ya kale, marra akatamani divai mpya, maana asema, Ile ya kale ni njema zaidi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Hakuna mtu anayetamani kunywa divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani kwani husema ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Hakuna mtu anayetamani kunywa divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani kwani husema ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Hakuna mtu anayetamani kunywa divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani kwani husema ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Wala hakuna mtu anayependelea divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani, bali husema, ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Wala hakuna mtu anayependelea divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani, bali husema, ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 5:39
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtu atakae kukushtaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho.

Lakini divai mpya sharti kutiwa katika viriba vipya.

IKAWA siku ya Sabato alikuwa akipita katika makonde, wanafunzi wake wakavunja masuke, wakayala, wakiyapukusapukusa mikononi mwao.

Na watu hawa wote wakiisha kushuhudiwa kwa sababu ya imani yao, hawakuipokea ahadi:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo