Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Akawaambia mithali, Hakima apasuae kiraka cha nguo mpya na kukitia katika vazi kuukuu: ikiwa atia aipasua ile mpya, na kile kiraka cha nguo mpya hakilingani na lile vazi kuukuu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Yesu akawaambia mfano huu: “Watu hawakati kiraka cha nguo mpya na kukitia katika vazi kuukuu; kama wakifanya hivyo, watakuwa wamelikata hilo vazi jipya, na pia hicho kiraka hakitachukuana na hilo vazi kuukuu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Yesu akawaambia mfano huu: “Watu hawakati kiraka cha nguo mpya na kukitia katika vazi kuukuu; kama wakifanya hivyo, watakuwa wamelikata hilo vazi jipya, na pia hicho kiraka hakitachukuana na hilo vazi kuukuu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Yesu akawaambia mfano huu: “Watu hawakati kiraka cha nguo mpya na kukitia katika vazi kuukuu; kama wakifanya hivyo, watakuwa wamelikata hilo vazi jipya, na pia hicho kiraka hakitachukuana na hilo vazi kuukuu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Isa akawapa mfano huu, akawaambia: “Hakuna mtu achanaye kiraka kwenye nguo mpya na kukishonea kwenye nguo iliyochakaa. Akifanya hivyo, atakuwa amechana nguo mpya, na kile kiraka hakitalingana na ile nguo iliyochakaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Isa akawapa mfano huu, akawaambia: “Hakuna mtu achanaye kiraka kutoka kwenye nguo mpya na kukishonea kwenye nguo iliyochakaa. Akifanya hivyo, atakuwa amechana nguo mpya, na kile kiraka hakitalingana na ile nguo iliyochakaa.

Tazama sura Nakili

Luka 5:36
7 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini siku zitakuja watakapoondolewa Bwana arusi, ndipo watakapofunga siku zile.

Wala hakuna mtu atiae divai mpya katika viriba vikuukuu: ikiwa atia, ile divai mpya itavipasua vile viriba, divai yenyewe ikamwagika, viriba vikapotea.

Kwa maana ninyi hekalu la Mungu aliye hayi; kama Mungu alivyosema, ya kama, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo