Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Yesu akawaambia, Je! mwaweza kuwafungislia wana wa arusi, maadam Bwana arusi yupo pamoja nao?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Yesu akawajibu, “Je, wale walioalikwa harusini hutakiwa wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao? La!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Yesu akawajibu, “Je, wale walioalikwa harusini hutakiwa wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao? La!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Yesu akawajibu, “Je, wale walioalikwa harusini hutakiwa wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao? La!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Isa akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati yuko pamoja nao?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Isa akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati yuko pamoja nao?

Tazama sura Nakili

Luka 5:34
18 Marejeleo ya Msalaba  

Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwana wake arusi.

Yesu akawaambia, Wana wa arusi wawezaje kuomboleza, maadam Bwana arusi yupo pamoja nao? Lakini siku zitakuja atakapoondolewa bwana arusi; udipo watakapofunga.

Nao wakamwambia, Kwa nini wanafunzi wa Yohana wanafunga marra nyingi na kusali, na wanafunzi wa Mafarisayo wanafanya vilevile, bali wanafunzi wako hula na hunywa?

Lakini siku zitakuja watakapoondolewa Bwana arusi, ndipo watakapofunga siku zile.

Aliye nae bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi anaesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi: bassi hii furaha yangu imetimia.

Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; maana naliwaposea mume mmoja, nimletee Kristo bikira safi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo