Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 5:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Marra akasimama mbele yao, akajitwika kile alichokilalia, akaenda zake nyumbani kwake, akimhimidi Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Mara, huyo mtu aliyepooza akasimama mbele yao wote, akachukua kitanda chake akaenda nyumbani kwake huku akimtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Mara, huyo mtu aliyepooza akasimama mbele yao wote, akachukua kitanda chake akaenda nyumbani kwake huku akimtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Mara, huyo mtu aliyepooza akasimama mbele yao wote, akachukua kitanda chake akaenda nyumbani kwake huku akimtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Mara yule mtu aliyekuwa amepooza akasimama mbele yao wote, akachukua mkeka wake, akaenda zake nyumbani, huku akimtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Mara yule mtu aliyekuwa amepooza akasimama mbele yao wote, akachukua mkeka wake, akaenda zake nyumbani, huku akimtukuza Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Luka 5:25
12 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano wakimwona, wakastaajabu, wakamtukuza Mungu, aliyewapa watu mamlaka ya jinsi hii.


Akaondoka marra, akajitwika kitanda chake, akatoka mbele yao wote; hatta wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakinena, Namna hii hatujapata kuyaona kamwe.


Akaweka mikono yake juu yake, akanyoka marra hiyo, akaanza kumtukuza Mungu.


Marra akapata kuona, akamfuata, akimtukuza Mungu; na watu wote walipoona wakampa Mungu sifa.


Nae akauyosha mkono wake, akamgusa, akinena, Nataka; takasika. Marra ukoma wake ukamwounoka.


Bassi marra ya pili wakamwita yule mtu aliyekuwa kipofu wakamwambia, Mpe Mungu utukufu. Sisi tunajua ya kuwa mtu huyu ni mwenye dhambi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo